Kimagoma

Kimagoma ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Wamagoma. Mwaka wa 2003 idadi ya wasemaji wa Kimagoma imehesabiwa kuwa watu 9000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kimagoma iko katika kundi la G60. Inafanana hasa na Kikinga.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search